Friday, April 22, 2016

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAFANYIA UKARABATI MKUBWA JENGO LA KITUO CHA AFYA NAPUPA, MASASI

Mkuu wa Wilaya ya Masasi Ndugu Bernard Ndutta akikata utepe katika jengo la kituo cha Afya cha Napupa Nyasa, kuzindua jengo hilo lililofanyiwa ukarabati mkubwa na Shirika la Nyumba la Taifa.
Mkuu wa Wilaya ya  Masasi Ndugu Bernard Ndutta akipokea maelezo kutoka kwa Mhandisi Ndugu Renald Kazoba kutoka Shirika la Nyumba Nyumba la Taifa.
Baadhi ya wageni waliohudhuria kwenye sherehe ya kukabidhi kituo cha Afya cha Napupa, Masasi. wakimsikiliza Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Mtwara, Joseph John.
Upande wa Nyuma wa jengo la Kituo cha Afya cha Napupa kilichofanyiwa ukarabati na Shirika la Nyumba la Taifa na kukabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Halmashauri ya Mji, Masasi.
 Jengo la choo  kituo cha Afya lililokamilishwa ujenzi wake na Shirika la Nyumba la Taifa.
 Mkuu wa Wilaya ya Masasi Ndugu Bernard Ndutta mwenye suti nyeusi akiingia kwenye sherehe za kukabidhiana kituo cha Afya cha Napupa Nyasa.
 Meneja wa Mkoa wa Mtwara Ndugu Joseph John akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Masasi kwenye shughuli ya kukabidhi kituo cha Afya cha Napupa Nyasa.
Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Mtwara Ndugu Joseph John akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya baada ya ukaguzi wa jengo la kituo cha Afya cha Napupa.
 Baadhi ya wafanyakazi wakisikiliza kwa makini wakati wa makabidhiano ya kituo cha Afya cha Napupa, Masasi.
Jengo la kituo cha Afya cha Napupa Masasi kilichofanyiwa ukarabati na Shirika la Nyumba la Taifa.

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...