Sunday, April 10, 2016

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AMEREJEA CUF HUKO ZANZIBAR

Aliyekuwa mgombea Mwenza wa CHADEMA/UKAWA, Amerejea Cuf hii leo.
Haji alikuwa mgombea Mwenza wa Edward Lowassa katika Uchaguzi wa 2015 wakipeperusha Bendera ya CHADEMA
Post a Comment