MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI MSAAFU AZINDUA RIPOTI YA MPANGO WA UHAMASISHAJI UWAZI KATIKA MAPATO YA MADINI, GESI ASILIA NA MAFUTA (TEITI)
Mwenyekiti wa mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI), Mark Bomani akimkaribisha Aliyekuwa Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh ili aweze kuzindua ripoti ya mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI) jijini Dar es Salaam leo.
Aliyekuwa Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh akizungumza wakati wa uzinduzia ripoti mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI) jijini Dar es Salaam leo.
Aliyekuwa Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ripoti mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI) jijini Dar es Salaam leo akiwa na Mwenyekiti wa mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI), Mark Bomani na wengine ni wajumbe wa mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI) wakiwa katika uzinduzi huo jijini Dar es Salaam leo.
Aliyekuwa Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick akionyesha ripoti mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI) jijini Dar es Salaam mara baada ya kuzindua ripoti hiyo.
Mkurugenzi wa Utawala wa Kampuni ya BDO Afrika Mashariki, Juvinal Betambila akifafanua jinsi ripoti mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI) jijininDar es Salaam leo wakati wa kuzindua repoti hiyo.
Comments