Tuesday, April 26, 2016

LIYUMBA AZIKWA KIJIJINI KWAO MAHENGE MKOANI MOROGORO

Watoto wa marehemu kwa umoja wao wakiweka shada la Maua kwenye kaburi la Baba yao.

Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Joachim Liyumba (68), aliyefariki Aprili 18 na umezikwa mwishoni mwa wiki kijijini kwao, Kwiro, Mahenge Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro.Mwili ailaze roho ya Marehemu Mahali pema Peponi-Amin
Mazishi yalifanyika huku mvua kubwa ikinyesha
Pamoja na Mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha kijijini hapo,lakini Watu mbalimbali walishiriki kuupumzisha mwili wa Marehemu Liyumba katika nyumba yake milele
 Watoto wa Marehemu Liyumba wakiangua vilio wakati kaburi la Mpendwa baba yao likifukiwa.
Mwili wa marehemu wa Liyumba ukiwasili katika makaburi yaliyopo nje ya kanisani la Katoriki parokia ya Kwiro jimbo la Mahenge,tayari kwa kupumzishhwa kwenye nyumba yake ya milele.PICHA KWA HISANI YAhttp://shekidele.blogspot.com/
Post a Comment