Pichani waweza kuona mita chache kutoka mzunguko (round about) ya Kawe kuelekea Mbezi Beach ya chini, pinda kona kulia kwako utauona Mradi
Wa Kawe-711. Karibu upate maelezo na kuona maendeleo ya mradi.
Unapovuka mzunguko wa Kawe kuelekea Mbezi Beach ya chini unaweza kuona majengo ya NHC Kawe -711 yaliyojengwa kwa mpangilio makini kata kulia kwako utauona mradi huo. Karibu upate maelezo na kuona maendeleo ya mradi.
Majengo ya mradi wa nyumba za makazi na biashara ya Kawe 711 yaliyojengwa kwa mpangilio makini yanavyoonekana hivi sasa. Karibu upate maelezo na kuona maendeleo ya mradi.
Unapochepuka kulia utakutana na barabara ya vumbi mbele yako majengo ya mradi wa nyumba za makazi na biashara ya 711 yaliyojengwa kwa mpangilio makini, hapo ndipo zilipo ofisi za mauzo za mradi huo Karibu upate maelezo na kuona maendeleo ya mradi.
Geti la kuingilia kwenye mradi wa nyumba za makazi na biashara ya 711 yaliyojengwa kwa mpangilio makini, hapo ndipo zilipo ofisi za mauzo za mradi huo. Karibu upate maelezo na kuona maendeleo ya mradi.
Bango la mradi huo
Jengo la mradi wa nyumba za makazi na biashara ya 711 yaliyojengwa kwa mpangilio makini, hapo ndipo zilipo ofisi za mauzo za mradi huo .Karibu upate maelezo na kuona maendeleo ya mradi.
Ufikapo katika jengo hilo utakutana na sura za maafisa mauzo wachangamfu watakaokuhudumia pale pale na kukuonyesha maendeleo ya mradi na sehemu nyumba hizo zilipo kiasi kwamba sasa hautasumbuka kwenda mjini na baadaye kuelekezwa zilipo site.

Ofisi za mauzo za mradi wa NHC Kawe 711 zinavyoonekana utakatibishwa maafisa mauzo wachangamfu watakaokuhudumia pale pale na kukuonyesha maendeleo ya mradi na sehemu nyumba hizo zilipo kiasi kwamba sasa hautasumbuka kwenda mjini na baadaye kuelekezwa zilipo site.

Ofisi za mauzo za mradi wa NHC Kawe 711 zinavyoonekana utakatibishwa maafisa mauzo wachangamfu watakaokuhudumia pale pale na kukuonyesha maendeleo ya mradi na sehemu nyumba hizo zilipo kiasi kwamba sasa hautasumbuka kwenda mjini na baadaye kuelekezwa zilipo site.Ofisi za mauzo za mradi wa NHC Kawe 711 zinavyoonekana utakatibishwa maafisa mauzo wachangamfu watakaokuhudumia pale pale na kukuonyesha maendeleo ya mradi na sehemu nyumba hizo zilipo kiasi kwamba sasa hautasumbuka kwenda mjini na baadaye kuelekezwa zilipo site.
Comments