Tunawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR katika mikoa ya:-
NJOMBE, IRINGA, MTWARA, LINDI, RUVUMA, KATAVI, RUKWA, MBEYA, DODOMA, SINGIDA, TABORA, KIGOMA NA KAGERA
Kujitokeza ili
KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LAKUDUMU LA MPIGA KURA
Ambalo lipo katika vituo walipojiandikishia,
Kuanzia tarehe 01 Agosti 2015, Kuanzia saa mbili (2:00) asubuhi mpaka saa kumi na mbili (12:00) jioni.
Mashine itakuwepo kituoni kwa ajili ya kusahihisha makosa yaliyojitokeza wakati wa kujiandikisha.
No comments:
Post a Comment