Monday, August 17, 2015

Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd atembelea makao makuu ya NHC

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu  akimuelekeza jambo Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, ambaye alitembelea makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo, anayeshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi.

Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi wakiangalia baadhi ya mabango walipotembelea makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
 Bwana Mohamed Sharif, Mtanzania ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Dubai Sports City, akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi, huku Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd wakiwasikiliza.
  Bwana Mohamed Sharif, Mtanzania ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Dubai Sports City akimueleza Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd namna ujenzi wa jiji la la kisasa la NHC litakaloanza kujengwa Usa River, Arusha.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi wakiangalia baadhi ya mabango walipotembelea makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo.
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akimwelekeza jambo Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd huku Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Bw Mchechu wakishuhudia.

Post a Comment