Wafanyakazi wa kituo hicho katika picha ya pamoja.Sehemu ya mabenchi yaliyotolewa na kampuni ya simu Tanzania (TTCL) Msaada huo umegharimu shilingi milioni moja na laki saba.Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho Dtk. Mwajuma Mbaga akiishukuru TTCL kwa msaada walioutoa na kuwaomba wadau wengine wasaidie kituo hicho kwani kinahudumia wagonjwa zaidi ya 350 kwa sikuDkt. Mwajuma Mbaga (kushoto) akiwa pamoja na baadhi ya wauguzi kituo hicho. Kulia ni Afisa Uhusiano wa TTCL Bi. Amanda LuhangaDkt. Mwajuma Mbaga akipokea msaada huo kutoka kwa Kaimu meneja Uhusiano wa TTCL Bw. Edwin Mashasi.
Comments