MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA QATAR ALIYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI TANZANIA, JASSIN MOHAMED MUBARAK AL-DARWIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpokea na kumkaribisha Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Mhe. Jassin Mohamed Mubarak Al-Darwish, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Novemba 5, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi wa nchini yake nchini. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Mhe. Jassin Mohamed Mubarak Al-Darwish, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Novemba 5, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi wa nchini yake nchini. Picha na OMR
Comments