KATIBU MKUU, WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI – ALPHAYO J. KIDATA AFANYA ZIARA MKOANI TANGA
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akifuatilia kwa karibu baadhi ya nakala na ramani za maeneo yenye Migogoro, hivi karibuni mkoani Tanga
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata katika picha ya pamoja, akiwa na baadhi ya Maafisa ardhi, Mipango na Watathimini baada ya kusikiliza matatizo na migogoro mbalimbali ya ardhi, hivi karibuni mkoani Tanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akisikiliza matatizo na migogoro mbalimbali ya ardhi kutoka kwa Maafisa ardhi, Maafisa Mipango na Watathimini, hivi karibuni mkoani Tanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akifuatilia kwa karibu baadhi ya nakala na ramani za maeneo yenye Migogoro, hivi karibuni mkoani TangaMwananchi aliyepatiwa suluhu la tatizo la ardhi, akimshukuru Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata baada tu ya kumaliza Mkutano na Maafisa ardhi, Maafisa Mipango na Watathimini, hivi karibuni mkoani Tanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata hivi karibuni, akifuatilia historia ya eneo lenye mgogoro baina ya familia mbili, Barabara ya tatu – jijini TangaKatibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akiwa na baadhi ya Maafisa ardhi, hivi karibuni walipotembelea na kusikiliza tatizo la eneo lenye mgogoro baina ya familia mbili, Barabara ya tatu – jijini Tanga
Comments