PINDA AFUNGUA SEMINA YA ALAT JIJINI DAR ES SALAAM

unnamed1
 Waziri Mkuu, Mizengo PInda akihutubia wakati alipofungua semiana ya  Jumuiya ya   Tawala za Mitaa kwenye ukumbi wa hoteli ya Kunduchi jijini Dar e salaam Novemba 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
unnamed2unnamed3Baadhi ya washiriki wa Semina ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa, ALAT wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua semina yao kwenye  ukumbi wa hoteli ya Kunduchi Jijini Dar es salaam  Novemba 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
unnamed4Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha  ya pamoja na baadhi ya washiriki  wa Semina ya Jumuiya ya Tawala  za Mitaa (ALAT) baada ya kufungua semina semina yao kwenye hoteli ya Kunduchi jijini Dar es slaama Novemba 10, 2014.  Kushoto kwake  ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mk,uu. Aggrey Mwanri   na kulia kweke ni Mwenyekiti wa ALAT, Dr.  Didas Masaburi, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)unnamed5Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri (wapili kulia), Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa, Dr. Didas Masaburi (kushoto) na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda baada ya kufungua semina ya ALAT kwenye ukumbi wa hoteli ya Kunduchi jijini Dar es salaam Novemba 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)unnamed6
unnamed7unnamed7Waziri MKuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa  (ALAT) baada ya kufungua semina yao kwenye ukumbi wa hoteli ya Kunduchi  jijini Dar es salaam Novemba 10, 2014.Kushoto ni Mwenyekiti wa ALAT, Dr. Didas Masaburi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments