Monday, November 24, 2014

DAVID KAFULILA NA JESSICA KISHOA WALIVYOMEREMETA

Mbunge wa Kigoma Kusini, Mhe. David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa Annex uliopo Uvinza, Kigoma, Jumamosi Novemba 22, 2014.
Mhe. David Kafulila na mai waifu wake Jessica Kishoa pamoja na wapambe wao Mhe. Deo Filikujombe na mke wake Sarah Filikunjombe wakipeleka keki kwa wazazi wa bwana harusi.
Baadhi ya waheshimiwa wabunge waliopamba harusi ya Mhe. David Kafulila katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Mhe Deo Filikunjombe. Mhe.David Kafulila ambaye ndiye Bw. Harusi, Mhe Zitto Kabwe na Mhe. David Silinde. (Picha na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma)

No comments:

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka...