WARSHA YA UTAARISHAJI MKAKATI ITIFAKI YA SOKO LA PAMOJA LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAFANYIKA ZANZIBAR KATIKA HOTELI YA ZANZIBAR BEACH RESOURT MBWENI
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Biashara, Uwekezaji na Sekta za uzalishaji Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdullah Makame akimkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Salum Maulid Salum (kati kati) kufungua warsha ya utaarishaji mkakati Itifaki ya soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Wakwanza (kushoto) Makamu wa Rais wa Chamber of Commerce Zanzibar Ali Aboud Mzee.
Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Salum Maulid Salum akifungua mkutano huo unaofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resourt Mbweni Wilaya ya Magharibi Zanzibar.Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria ufunguzi wa Warsha ya utaarishaji mkakati Itifaki ya soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakifuatilia ufunguzi wa mkutano huo Zanzibar Beach Resourt Mbweni.Baadhi ya washirki wa warsha ya utaarishaji mkakati Itifaki ya soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora alipokuwa akifungua warsha hiyo.Picha ya pamoja ya washiriki wa warsha hiyo na Mgeni rasmi Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na Utawalaq Bora Salum Maulid Salum (wa katikati) waliokaa.Waandishi wa habari wakimuhoji Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Biashara, uwekezaji na sekta za uzalishaji Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdullah Makame mara baada ya ufunguzi wa warsha hiyo.Dkt. Abdullah Makame akiagana na Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Salum Maulid Salum baada ya kufungua warsha hiyo Hoteli ya Zanzibar Beach Resourt, Mbweni.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Comments