RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA Posted by Vempin Media Tanzania on November 04, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma leoOktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa yamaendeleo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti waWazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na wazeewa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza nayemaswala kadhaa ya maendeleo.Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa Mazungumzo kati ya RaisJakaya Mrisho Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.Meza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwetena wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ilikuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.Sehemu ya wazee wakati wa mkutano wao na Rais Kikwetemjini Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza nayemaswala kadhaa ya maendeleo.Sehemu ya wazee wakati wa mkutano wao na Rais Kikwetemjini Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza nayemaswala kadhaa ya maendeleo.Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla yakuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leoOktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa yamaendeleo.Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla yakuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leoOktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa yamaendeleo.Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimanijijini Dodoma leo Oktoba 11, 2014 tayari kwa mkutano wake na wazeewa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza nayemaswala kadhaa ya maendeleo.Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiingia katika ukumbi wamikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo Oktoba 11, 2014 tayari kwamkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014waliouitisha ili kuzungumza na Rais Kikwete maswala kadhaa yamaendeleo. Comments
Comments