TAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YAKABIDHI MADARASA MATATU SHULE YA MSINGI YA LOIBORSOIT
Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara. David na Steven
Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin akipima sikio kwa mmoja wa watoto waliohudhuria kliniki iliyokwenda sambamba na ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara.
Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara.
Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na mkewe, Tani wakipokelewa na wana kikiji wa Loiborsoit kwenye ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara. Kulia ni David Furnish mmoja wa wageni maarufu aliyehudhuria hafla hiyo.Yohana shinini
Wanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya Msingi Loborsoit iliyopo Simanjiro wakiwa darasani huku timu ya Taasisi ya Starkey Hearing Foundation wakiwa nyuma yao wakati wa kukabidhiwa majengo hayo katika sherehe iliyofanyika Wilayani Simanjiro.
No comments:
Post a Comment