MTOTO ANYONGWA BILA HURUMA ENEO LA MAJOHE DAR ES SALAAM

 Mtoto Nuru kabla yakufikwa na umauti pichani alipo kuwa na miaka 3.Mtoto huyo anadaiwa kunyongwa  Alhamisi iliyopita na kuzikwa katika Makaburi ya Majohe kwa Muslim   (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA BILALI) Mmiliki wa Blog ya UJIJIRAHAA.
 Nguo ya Mmtoto huyo aliyokua ameivaa kabla ya kunyongwa kinyama .
 Hii ni Mipira ya kuvaa mikononi iliyotumika kuubeba Mwili huo.
 Mama wa marehemu Nuru  Mohamedi , ambaye ni Sauda Ally.  akiwa amelala kutokana na kuishiwa nguvu mwilini kwa kufikwa na tukio hilo.  wakati  akiongea  na mwandishi wa habari.
 Mama wa marehemu Nuru  Mohamedi , ambaye ni Sauda Ally (wakwanza kushoto). akiongea kwa shida  na mwandishi wa habari, Nyumbani kwa Mama  huyo Dar es Salaa eneo la Majohe. 
 Familia ya mtoto Nuru Mohamed (7) pichani  juu,  wakitoka nje baada ya kumuonyesha mpiga picha wa Gazeti la  sehemu iliyopo ndani ya pagala alipouawa mtoto huyo kwa kuwekewa matofari juu ya  mtu asiyejulikana Alhamisi jioni eneo la Majohe Kichangani, Ukonga, Dar es Salaam.
Pagala la Nyumba hilo lipo barabarani. 

Comments