Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Kanda ya Temeke wakutana











 Wasanii wa Kundi la Wanne Star wakitoa burudani kwenye hafla hiyo. Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Kanda ya Temeke walikutana mwishoni mwa wiki katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano uliopo ndani ya Jengo la Quality Center, Barabara ya Nyerere Road jijini Dar es Salaam, lengo likiwa ni kutoa Elimu kuhusu Sheria Mpya ya Hifandhi ya Jamii,iliyodhaminiwa na waasisi na Wanachama wa PPF Kanda ya Temeke.
 Maafisa wa Mfuko wa PPF wakifatilia Burudani iliyokuwa ikitolewa na kundi la Wanne Star.
 Sehemu ya Wadau na Maofisa wa Mfuko wa PPF wakiwa kwenye hafla hiyo.

Meneja wa PPF akitoa mada ya Elimu kuhusu Sheria Mpya ya Hifandhi ya Jamii.

Afisa wa Kitengo cha ICT wa Mfuko wa PPF,Majaliwa Mkinga akizungumza wakati wa hafla hiyo.




Comments