Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNIDO nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Emmanuel Kalenzi ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu kuaga Novemba 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwakilishi Mkazi wa UNIDO nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Emmanuel Kalenzi ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu kuaga Novemba 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Comments