Tuesday, November 18, 2014

DKT. ADELHELM JAMES MERU AAPISHWA KUWA KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

PIX 1 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib Bilal (kushoto) akimuapisha Dkt. Adelhelm Merukuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii jana Ikulu jijini Dar es Salaam.PIX 2 
Dkt. Adelhelm Meru (kulia) akila kiapo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii jana  Ikulu jijini Dar es Salaam.PIX 3 
Dkt. Adelhelm Meru (kulia) akiweka saini katika Kitabu mara baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii jana Ikulu jijini Dar es Salaam.PIX 4 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib (kushoto) akiweka saini katika kitabu mara baada ya kumuapisha Dkt. Adelhelm Meru kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii jana Ikulu jijini Dar es Salaam.PIX 5
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib (kushoto) akimkabidhi kitabu Dkt. Adelhelm Meru mara baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii jana Ikulu jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DSM)

No comments:

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka...