Monday, November 24, 2014

UTT-AMIS YAFANYA MKUTANO WA TATU WA WAWEKEZAJI

 Mwenyekiti
wa 
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Uwekezaji Nchini (UTT-AMIS),Joseph Kuzilwa akizungumza wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu
wa Wawekezaji uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa UTT-AMIS, Hamis Kibola,
akizungumza wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji.
Simon Higangala, akifafanua jambo wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala (UTT-AMIS), Joan Msofe akifafanua jambo jijini Dar es Salaam
wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji nchini.

Baadhi ya wanachama wa
UTT, wakichangia mada wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji nchini.
Baadhi ya wanachama wa
UTT, wakichangia mada wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Uwekezaji (UTT-AMIS), HamisKibola (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti
wa 
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Uwekezaji Nchini (UTT-AMIS),Joseph Kuzilwa.
Wanachama wa Mfuko wa Uwekezaji (UTT-AMIS).

No comments:

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka...