Monday, November 24, 2014

NSSF YAENDESHA SEMINA KWA WAAJIRI, WANACHAMA

Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu
(katikati), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF), Crescentius Magori (kulia) na Meneja Idara za Serikali na Balozi NSSF,
Rehema Chuma wakiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wakati wa semina ya wadau wa
Kada ya Utumishi wa Idara na Asasi za Serikali iliyoandaliwa na NSSF mjini
Bagamoyo.
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa laHifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori
akitoa akifafanua jambo wakati wa semina ya wadau wa Kada ya Utumishi wa Idara na
Asasi za Serikali iliyoandaliwa na NSSF na kufanyika mjini Bagamoyo, mwishoni
mwa wiki. Wa pili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu, 
Meneja
wa Idara za Serikali na Balozi NSSF, Rehema Chuma
  na
Meneja wa NSSF Mkoa wa Kibaha, Ummy Lweno. 
 Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu akitoa
hotuba yake wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau wa Kada ya Utumishi wa Idara
na Asasi za Serikali iliyoandaliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF) na kufanyika mjini Bagamoyo.
 Meneja
wa Idara za Serikali na Balozi NSSF, Rehema Chuma akizungumza katika semina hiyo.

  Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), Crescentius Magori  akitoa
mada wakati wa semina ya wadau
wa Kada ya Utumishi wa Idara na Asasi za Serikali iliyoandaliwa na NSSF na
kufanyika mjini Bagamoyo.
 Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
 Washiriki wa semina wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwakilishwa.
 Wadau wa NSSF wakiwa katika mkutano huo.
 Maofisa wa NSSF wakiwa katika mkutano huo.
 Maofisa wa NSSF wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa.
Meneja
wa Idara za Serikali na Balozi NSSF, Rehema Chuma (kushoto) akiwa na M
kurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala, Chiku Matesa.
 Mgeni Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu akiagana na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori mara baada ya kufungua
semina ya wadau wa Kada ya Utumishi wa Idara na Asasi za Serikali iliyoandaliwa
na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kufanyika mjini Bagamoyo
jana. Katikati ni Meneja Idara za Serikali na Balozi NSSF, Rehema Chuma.
  …………………………………………….
Na Mwandishi Wetu
 
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, Hab Mkwizu, amewataka waajiri na wanachama wa Shirika la Hifadhi ya Jamii
(NSSF) kujadili changamoto zinazokabili shirika hilo na kuzitatua.
 
Mkwizu aliyasema hayo mjini Bagamoyo katika
semina iliyoandaliwa na NSSF ikiwa ni utaratibu wa shirika hilo kukutana na
wadau wake.
 

No comments: