Tuesday, February 23, 2016

MAJALIWA AKUTANA NA MABALOZI

sil1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Mhe. Alvaro Rodriguez kabla  ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sil2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Bw. Alvaro Rodriguez  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sil3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Yosemin Eralp kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sil4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Balozi wa Ireland nchini, Mhe.  Fionnuala  Gilsenan,  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
sil5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Balozi wa Switzerland nchini, Mhe.  Florence Tinguely Mattli,  Ofisini kwake  Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

MKUTANO WA CATA UANGAZIE MIJADALA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA UKUSANYAJI MAPATO - MAKAMO WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema matumizi ya mifumo ya kisasa ya teknolojia ni chachu kati...