Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (aliyesimama katikati) akikagua ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. Ukarabati huo unahusisha urekebishaji wa paa la ukumbi huo pamoja na urekebishaji wa Viti na mifumo ya Umeme.
Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (wa kwanza kulia) akikagua ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akikagua taa za Umeme ambazo zinatakiwa kubadilishwa wakati wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge.
Mhandisi Matengenzo TBA-Dodoma Hija Mrutu (Kulia) akimuelezea Katibu wa Bunge Dkt Thomas kuhusu namna ukarabati wa ukumbi wa Bunge unavyoendelea.
Katibu wa Bunge akiendelea kufanya ukaguzi wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge akiendelea kufanya ukaguzi wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge akiendelea kufanya ukaguzi wa ukarabati wa ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Comments