Monday, February 15, 2016

WAZIRI WA ELIMU ,SAYANSI,TEKNOLOJIA NA UFUNDI,PROF JOYCE NDALICHAKO AONGOZA MAMIA KATIKA MAZISHI YA WAZIRI WA ELIMU WA ZAMANI ,ISALIA ELINEWINGA

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ,Baba Askofu Dkt Fredrick Shoo akitoa heshima ya mwisho kwa marehemu Isalia Elinewinga wakati wa shughuli ya mazishi iliyofanyika kijiji cha  Losaa Masama Magharibi wilayani Hai.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Isalia Elinewinga.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akitoa heshima za mwisho kwa Waziri wa Elimu wa zamani ,Isalia Elinewinga aliyezikwa nyumbani kwake kijiji cha Losaa wilaya ya Hai.
Baadhi ya waombolezaji walifika kwenye msiba huo.
Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi ,Prof Joyce Ndalichako akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala wakiwa katika mazishi ya Marehemu Isalia Elinewinga.nyuma yao ni Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka.
Mbunge wa Jimbo la Hai,Freeman Mbowe pamoja na mkewe Dkt Lilian Mtei wakiwa katika mazishi ya marehemu Elinewinga.
Familia ya Marehemu Elinewinga wakiwa wenye huzuni kando ya jeneza lenye mwili wa mpendwa Baba yao mzee Isalia Elinewinga.
Post a Comment