Saturday, February 20, 2016

TSOI WAFANYA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAFUNZI WA KIKE TOKA VYUO VIKUU NA TAASISI MBALIMBALI ZA ELIMU JUU KUTOKA MKOA WA DAR ES SALAAM

Mbunifu wa kazi za ufumaji na mmiliki wa Fflorinyan Designes Ms. Flora M. Kawa akizungumza jambo katika uzinduzi wa semina ya siku moja ya Wanafunzi wa Kike toka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimujuu kutoka mkoa wa Dar es Salaam.
Mshauri kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dk. Dominista Kombe akitoa semina kuhusu ugonjwa wa Saratani pamoja na madhara yake wakati wa uzinduzi wa semina ya siku moja ya Wanafunzi wa Kike toka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimujuu kutoka mkoa wa Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa TASOI, Bi. Belinda Mlingo akiwaonesha pesa wanafunzi wa kike wa vyuo vikuu na kuwahasa wanafunzi kujihusisha na ujasiliamali maana ndio mafanikio yao ya baadae.
Mwanachuo Doreen Tesha akiuliza swali wakati wa uzinduzi wa semina ya siku moja ya Wanafunzi wa Kike toka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimujuu kutoka mkoa wa Dar es Salaam.
Afisa Mwandamizi Idara ya Matekelezo NSSF Bw. Abubakar Mshangama akiwaelezea  wanvyuo umuhimu wa mfuko wa NSSF katika uzinduzi wa semina ya siku moja ya Wanafunzi wa Kike toka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimujuu kutoka mkoa wa Dar es Salaam
Post a Comment