AFISA MWANDAMIZI WA SABMILLER AFANYA ZIARA TBL GROUP NCHINI



Meneja wa Kiwanda cha TBL cha Ilala jijini Dar es Salaam ,Calvin Martin akimtembeza  Mkurugenzi wa chapa ya vinywaji vinavyotengenezwa na viwanda vilivyopo chini ya kampuni ya SABMiller kanda ya Ulaya  Olga Loskutova  wakati alipotembelea kiwandani hapo jana kuona shughuli za uzalishaji

Meneja uzalishaji wa chibuku Tito Kasele, akimuonyesha Mkurugenzi wa chapa ya vinywaji vinavyotengenezwa na viwanda vilivyopo chini ya kampuni ya SABMiller kanda ya Ulaya  Olga Loskutova  wakati alipotembelea kiwandani hapo jana kuona shughuli za uzalishaji.Olga yuko nchini kwa ziara ya kikazi
Mkurugenzi wa chapa ya vinywaji vinavyotengenezwa na viwanda vilivyopo chini ya kampuni ya SABMiller kanda ya Ulaya  Olga Loskutova  (kushoto) akimsikiliza Meneja Ufundi wa kiwanda cha Konyagi Khadija Madambi (Kulia) wakati alipotembelea kiwandani hapo jana kuona shughuli za uzalishaji,wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Konyagi Mike  Benjamin na wengine pichani ni maofisa waandamizi wa kampuni hiyo
Mkurugenzi wa chapa ya vinywaji vinavyotengenezwa na viwanda vilivyopo chini ya kampuni ya SABMiller kanda ya Ulaya  Olga Loskutova akitembezwa kwenye mitambo ya TBL Ilala
Mkurugenzi wa chapa ya vinywaji vinavyotengenezwa na viwanda vilivyopo chini ya kampuni ya SABMiller kanda ya Ulaya  Olga Loskutova akitembezwa na Maofisa wa TBL Group kwenye moja ya baa inayouza vinywaji  vinavyotengenezwa na kampuni hiyo maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
Olga Loskutova pia alitembelea duka linalouza Chibuku kwa jumla
Akifanya majadiliano na maofisa wa TBL Group katika moja ya baa waliyoitembelea

Comments