WAZIRI JENISTA MHAGAMA ATEMBELEA MAMLAKA YA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA SEKTA YA HIFADHI YA JAMII (SSRA)


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Mh. Jenista Mhagama akisalimia na Menejimenti ya SSRA Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi. Irene Isaka. 
Juu na Chini: Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Mh. Jenista Mhagama akisalimia na Menejimenti ya SSRA Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi. Irene Isaka. 
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akimkaribisha Mh. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu alipotembelea kwenye Ofisi za Mamlaka hiyo mnamo tarehe 24 February 2016, Dar es Salaam. 
Menejimenti ya SSRA wakisubiria ugeni wa Waziri Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Mh. Jenista Mhagama katika Ofisi za Mamlaka hayo zilizopo barabara za Bagamoyo Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akikabidhi vitendea kazi kwa Mh. Jenista Mhagama Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu  Mh. Jenista Mhagama wa pili kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Menejiment ya SSRA kushoto kwa Waziri ni Kamishana wa Kazi Ndugu Daudi Kaale. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Jenista Mhagama akieleza jambo wakati wa kikao cha pamoja na Menejimenti ya SSRA wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Jenista Mhagama akieleza jambo wakati wa kikao cha pamoja na Menejimenti ya SSRA wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii. 
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (kushoto), ofisini hapo.          . 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Jenista Mhagama akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Jenista Mhagama akizungumza na wafanyakazi wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii.
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (kushoto), ofisini hapo.  
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Jenista Mhagama akizungumza na wafanyakazi wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii juzi. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka.

Comments