Meya wa jiji la Arusha,Kalisti Lazaro (Wa tatu toka kushoto) akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuzindua duka jipya la kisasa la Vodacom Tanzania eneo la Florida jijini humo,(wa kwanza kulia) ni Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini,Henry Tzamburakis na Mkurugenzi wa duka hilo Theobald Mworia.
Meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazaro (kushoto) akipongezana na Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya kaskazini, Henry Tzamburakis(kulia) pamoja na Mkurugenzi wa duka la kampuni hiyo,Theobald Mworia (katikati)ikiwa ni ishara ya kufurahia uzinduzi wa duka hilo lililopo eneo la Florida jijini humo jana.
Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini,Henry Tzamburakis (kulia),akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Uzinduzi wa duka la kampuni hiyo jana lililopo eneo la Florida jijini Arusha,(katikati ) ni Meya wa jiji hilo,Kalisti Lazaro na Mkurugenzi wa maduka ya Vodacom jijini humo,Theobald Mworia.
Meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazaro (katikati) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa maduka ya Vodacom Tanzania jijini Arusha,Theobald Mworia (kushoto) na Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya kaskazini, Henry Tzamburakis wakati wa halfa ya Uzinduzi wa duka jipya la kisasa la kampuni hiyo jana lililopo eneo la Florida jijinihumo.
Mgeni rasmi Meya wa jiji la Arusha,Kalisti Lazaro(kushoto) akikata keki kuashiria Uzinduzi wa duka jipya la kisasa la Vodacom Tanzania lililopo eneo la Florida jijini humo,watatu toka kushoto ni Mkurugenzi wa maduka ya Vodacom Tanzania jijini humo,Theobald Mworia
Comments