Friday, February 26, 2016

SERIKALI YAONYA MAWAZIRI WASIOREJESHA HATI ZA AHADI YA UADILIFU NA MALI

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea na wanahabari ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam kuhusu maagizo ya Rais John Pombe Joseph Magufuli dhidi ya mawaziri ambao hawajasaini na kurejesha hati za ahadi ya uadilifu kwa watumisi wa Umma pamoja na kutangaza mali
Post a Comment