Friday, February 12, 2016

WATUHUMIWA 11 WA MABEHEWA YA MIZIGO TRL WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA

????????????????????????????????????Watuhumiwa wa mabehewa ya Mizigo TRL wakiwa nje ya Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam tayari kwenda kusomewa mashtaka yanayoyabili watuhumiwa, hao kumi na moja walitenda kosa la matumizi mabaya ya madaraka na nyaraka, ikihusiana na manunuzi ya behewa ya kokoto (wapili kulia nyuma) Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli nchini(TRL),Mhandisi Kapallo Kisamfu.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????Wtuhumiwa wakiingia mahakani kisutu leo.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????Watuhumiwa 11 wa mabehewa ya Mizigo TRL wakiwa ndani ya mahakama Kisutu wakisubiri kusomewa mashtaka yao ambapo wanatuhumiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka na nyaraka, ikihusiana na manunuzi ya behewa ya kokoto (wapili kulia nyuma) Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli nchini(TRL),Mhandisi Kapallo Kisamfu.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG.

No comments:

Prof. Mfaransa Aja na Kitabu: Aiambia Dunia Kutalii Tanzania ni Tiba

Na Mwandishi Wetu Paris, Ufaransa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, akiwa nchini Ufaransa jana Julai 8, 2025 amek...