Sunday, February 07, 2016

JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM MJINI DODOMA


Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Ku Maalum ya CCM, leo, CHamwino mkoani Dodoma. Picha na Bashir Nkoromo)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo, kulia ni Mjumbe wa Kamati Kuu Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk John Pombe Magufuli na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

No comments:

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΊπŸ‡¬ DIPLOMASIA NA USHIRIKIANO WA TANZANIA–UGANDA WAZIDI KUIMARIKA

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, amewasili katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo, tarehe 06 Agosti 2026, ...