MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015/16 YATANGAZWA Posted by Vempin Media Tanzania on February 18, 2016 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Baraza la mitiani Tanzania NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 , ambapo ufaulu unaelezwa kushuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015. Matokeo yote unaweza kuyatazama >>HAPA Comments
Comments