Monday, February 08, 2016

Twiga Bancorp yawatengea wajasiramali wa vikundi Bilioni 5 nchi nzima, yaendelea kukopesha Bajaji na Pikipiki


Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akimkabidhi funguo wa bajaji Mwenyekiti wa kikundi cha Chama cha Madereva wa Bajaji cha Mikocheni kwa Kairuki (Chamabavi) John Roberto baada ya kupewa mkopo huo wa bajaji.
 
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akimpongeza Bi Shamsa saidi baada ya kukabidhi mkopo wa pikipiki.
 
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akiwasha bajaji huku pembeni yake (aliekaa) ni Mwenyekiti wa kikundi cha Chama cha Madereva wa Bajaji cha Mikocheni kwa Kairuki (Chamabavi) John Roberto baada ya kupewa mkopo huo wa bajaji. 
Bajaji zikiwa nje ya ofisi za Twiga Bancorp tawi la Mlimani City.
 Mkuu wa Idara ya mikopo kwa wateja wadogodogo wa benki ya hiyo, Joseph Malatula Twiga Bancorp akizungumzia kuhusiana na maendeleo ya mikopo kwa wateja hao.
 
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akimsaidia kuwasha bajaji mwanamama wa kikundi kati ya waliopata mkopo kutokea benki hiyo.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akiongoza wafanyakazi wa Twiga Bancorp kukabidhi funguo wa bajaji kwa kikundi cha Vikoba cha Mfugandege cha Yombo Mchimbo wakati wa hafla ya kukabidhi mikopo ya pikipiki na bajaji kwa vikoba vya jijini Dar es salaam.
Post a Comment