KIKWETE AZINDUA OFISI YA CCM WILAYA YA KIBAHA MJINI LEO Posted by Vempin Media Tanzania on February 22, 2016 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizindua Ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha mjini mkoani Pwani leo. Ofisi hiyo imejengwa na familia ya Mbunge wa Kibaha mjini Slyvester Koka (kulia). (Picha na Bashir Nkoromo). Comments
Comments