Monday, August 17, 2015

TAMASHA LA ‘DEMOCRACY IN DAR’ LAFUNIKA JIJI, WAKAZI WAHAMASIKA KUJITOKEZA KUPIGA KURA OKTOBA 25, 2015

Wananchi waliojitokeza katika tamasha la ‘Democracy in Dar’ lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015. 
Msanii Msagasumu akimwaga sumu kwa wakazi wa Mbagala na Vitongoji vyake waliojitokeza katika tamasha la ‘Democracy in Dar’ lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Shangwe kila kona….
Wasanii wa Bongo Movie nao waliunga mkono harakati za Mabadiliko…
Post a Comment