Thursday, August 06, 2015

KATIKA DAFTARI LA KUDUMU MKOA WA DAR ES SALAAM KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kukamilika kwa zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari la Kudumu kwa kutumia mfumo wa BVR Mkoani Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani zoezi hilio limefanikiwa kwa kiasi kikubwa licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali zilizojitokeza.

No comments:

RC ARUSHA APOKEA UJUMBE WA MABUNGE DUNIANI (IPU)

  . Kufanya Mkutano wa Mabunge Mkoani Arusha  .Wajumbe zaidi ya 1500 kutoka nchi wanachama wa IPU kuhudhuria  . Rais Dkt. Samia apendekezwa ...