.jpg)
Mgeni rasmi katika mahafali hayo ,mbunge wa
kuteuliwa na rais ,Mh James Mbatia akizungumza na wanafunzi wa shule
hiyo pamoja na wageni waalikwa .
.jpg)
Baadhi ya wageni waliofika shuleni hapo kwa
ajili ya mahafali ya ndugu zao wanaotarajia kuhitimu kidato cha sita
katika shule ya sekondary ya Maua.
Mbunge Mbatia akieleza mapungufu aliyoyaona
katika kitabu cha sera ya elimu kilichozinduliwa hivi karibuni na Rais
Jakaya Kikwete.
.jpg)
Mbatia akimkabidhi mkuu wa shule ya
sekondari Maua Seminary kitabu cha sera ya elimu.
.jpg)
Mkuu wa shule ya sekondari ya Maua Seminari
akimkabidhi Mbatia zawadi kutokana na kazi anayoifanya ya kutetea
elimu ya Tanzania.
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ,Mbunge
Mbatia akitoa zawadi ya keki kwa wanafunzi wanaohitimu kidato cha sita
katika shule ya sekondary Maua Seminary.
Mgeni rasmi katika mahafali ya 33 ya kidato
cha sita katika shule ya sekondari ya Maua,James Mbatia akiwa katika
picha ya pamoja na walimu pamoja na wahitimu.
.jpg)
Mbunge Mbatia akiongozwa na mkuu wa shule ya
sekondari ya Maua Seminary,Erastus Tesha kutembelea maeneo mbalimbali
ya shule hiyo.
.jpg)
Baadhi ya majengo yaliyopo katika shule ya
sekondary Maua Seminary.Na Dixon Busagaga wa Globu ya
Jamii Knada ya Kaskazini.
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment