
Msimamizi wa Uchaguzi na mkurugenzi wa
halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza wakati wa
kutangaza matokeo katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa mji mdogo
wa Himo.
![]() |
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika uchaguzi huo kutoka vyama mbalimbali vya siasa. |
![]() |
Mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo Hussein Jamal akizungumzamara baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika uchaguzi huo uliofanyika katika shule ya walemavu wa usikivu eneo la njia Panda. |
![]() |
Baadhi ya viongozi waliofika kushuhudia Uchaguzi huo. |
![]() |
Mkurugenzi wa wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akitoa ufafanuzi katika uchaguzi huo. |
![]() |
Baadhi ya madiwani walioshiriki uchaguzi huo. |
![]() |
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Moris Makoi akisalimia mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo. |
![]() |
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza wakati wa kufunga kikao cha uchaguzi huo. |
![]() |
Dc Makunga akipeana mkono na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Moris Makoi mara baada ya kuzungumza katika uchaguzi huo.Na Dixon Busagaga wa Glob ya jamii |
No comments:
Post a Comment