Mwongozaji wa ‘The Mboni Show’, Mboni Masimba (katikati), akizungumza na waandhi wa habari kabla ya kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya hospitali vyenye thamani ya milioni 7/- katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka mitatu ya ‘The Mboni Show’ katika hafla iliyofanyika hospitalini hapo jijini Dar es Salaam jana. Shughuli yote imewezeshwa na Wadhamini PSPF, Nakiete Pharmacy na the Fadhaget Sanitarium Clinic. Kushoto niMkuu wa Idara ya Magonjwa ya Kike na Uzazi katika Hospitali hiyo, Mathew Kallanga na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Picha zote na John Badi
Mboni akikabidhi zawadi za nguo za watoto kwa mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya wazazi ya hospitali hiyo.
|
Comments