Sunday, May 24, 2015

JK AKIONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA (NEC) MJINI DODOMA


Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwenye ukumbi wa NEC ,Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
………………………………………………..
Angalia picha za mkutano wa halmashauri kuu ya ccm mei 23 mjini dodoma.

No comments:

MAKATIBU WAKUU WAKAGUA AICC MAANDALIZI YA MWISHO MKUTANO WA IPU, ARUSHA

Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali pamoja na Kamati ya Wataalamu ya Maandalizi ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wamefan...