
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema na meya
wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa
tawi katika kata ya Longuo mjini Moshi.
![]() |
Ofisi mpya ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kata ya Longuo B . |
![]() |
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema taifa na meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael akikata utepe kufungua ofisi mpya ya kata ya Longuo B. |
![]() |
Meya Michael akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kufungua ofisi ya kata ya Chadema. |
![]() |
Katibu wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro Basil Lema akitia saini katika kitabu cha wageni wakati wa ufunguzi wa ofisi ya kata ya Longuo B. |
![]() |
Diwani wa kata ya Longuo B,Ray Mboya akitia saini katika kitabu hicho. |
![]() |
Baadhi ya makada wa Chadema manispaa ya Moshi wakishuhudia zoezi hilo. |
![]() |
Ofisi mpya ya Chadema kata ya, Longuo manispaa ya Moshi ikafunguliwa rasmi.Na Dixon Busagaga wa globu ya Jamii kanda ya Kasakazini. |
No comments:
Post a Comment