Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka kwenye stageni na moja ya nyimbo zao
Joniko Flower naye katika muziki wa live hashikiki kwa sauti,viuno mpaka pumzi ni hatareeeee
sakata lumba na sky light band hapana chezea hatareee ukigusa lazima unase
Mashabiki wa Skylight Band wakijiachia kwa raha zao ndani ya kiota cha Lukas pub
baada ya kuonekana kukunwa na burudani inayotolewa na band ya sky light mashabiki wakaanza kulisakata
wajanja wote tunakutana skylight band kila weekend kutupa shida chini na kuweka mikono juu huku viuno tukiwa hatuvisahahu kuvino sasa
Comments