HAFLA YA NHC UZINDUZI MAUZO YA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU-AWAMU YA PILI KATIKA KAMPENI IJULIKANAYO KAMA “NYUMBA YANGU - MAISHA YANGU

 Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akizungumza na wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa mauzo ya nyumba za gharama nafuu kupitia kampeni ya uuzaji wa nyumba za gharama nafuu ijulikananyo kama “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” -awamu ya pili. Kampeni hii ya “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” ni muendelezo wa utekelezaji wa malengo ya Shirika ya kujenga nyumba za gharama nafuu 5000 nchi nzima. Hafla ilihudhuriwa na wageni waalikwa wa kada mbalimbali. 
Baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa mauzo ya nyumba za gharama nafuu kupitia kampeni ya uuzaji wa nyumba za gharama nafuu ijulikananyo kama “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” -awamu ya pili. Kampeni hii ya “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” ni muendelezo wa utekelezaji wa malengo ya Shirika ya kujenga nyumba za gharama nafuu 5000 nchi nzima. Hafla ilihudhuriwa na wageni waalikwa wa kada mbalimbali.
Baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa mauzo ya nyumba za gharama nafuu kupitia kampeni ya uuzaji wa nyumba za gharama nafuu ijulikananyo kama “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” -awamu ya pili wakifuatilia mawasilisho ya kampeni hiyo.

 Dawati la Shirika la Nyumba la Taifa lililokuwa likitumika kukaribisha wageni waalikwa wa shughuli hiyo.

 Baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa mauzo ya nyumba za gharama nafuu kupitia kampeni ya uuzaji wa nyumba za gharama nafuu ijulikananyo kama “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” -awamu ya pili wakifuatilia mawasilisho ya kampeni hiyo.

 Rita Mokimirya na Bulla Boma wa NHC wakifuatilia kwa karibu uzinduzi wa nyumba yangu maisha yangu 2

Comments