Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, (MOI), Dkt. Othman Kiloloma (kulia) akifungua mkutano wa tatu wa madaktari bingwa wa mifupa uliyofanyika katika taasisi hiyo jijini Dar es Salaa , Mei 26, 2015
Daktari Bingwa wa Mifupa wa Taasisi hiyo Dk. Edmund Ndalama (kulia) akizungumza na Madaktari bingwa kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania na Marekani ambapo lengo ni kubadilishana ujuzi kwa nadharia na vitendo na unatarajia kumaliza Mei 29
Dkt. Zehrabanu Zulfikar akizungumza na wakati wa
mkutano huo
mkutano huo
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,ajali na upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othman Kiloloma (kulia) akisalimiana na Rais wa Fracture Care International Dkt Lewis Zirkle, ambaye ametoa msaada kwa hospitali 10 za Tanzania ikiwemo na Taasisi ya mifupa, ambapo kila chuma kimoja ni Dola 600/= na Moi hadi sasa imesaidiwa vyuma vya tiba 4000
washiriki wakifuatilia kwa makini
Dkt. Bingwa na Rais toka Maerkani na Muasisi wa Fracture Care International, Dkt Lewis Zirkle (kulia) akiwa na Dkt. Bingwa wa Taasisi ya Mifupa Moi Dk. Rabi Ndeserua
Dk. Edmund Ndalama (mbele) akiwa na madaktari bingwa wa mifupa wakifuatiliamkutano huo
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,ajali na upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kushoto) akifatiliajambo wakati wa mkutano huo wa madkt. wa Mifupa kwenye Mkutano huo wakati alipokuwa akizungumza Dkt. Bingwa na Rais wa Fracture Care International toka Marekani na Muasisi Dkt Lewis Zirkle,
Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Mifupa na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) wakishirikiana na madaktari bingwa
Makt. wakiwa katika picha ya pamoja Baada ya kufanya Upasuaji wa Mifupa kwa mgonjwa
Dkt. wa Mifupa Moi Dkt. Billy Haonga akielekeza jambo kwa madkt. Bingwa wenzake toka Nchi mbalimbali kabla ya kumfanyia mgonjwa mwingine
Wauguzi wa Taasisi ya Mifupa Moi wakimwangalia mgonjwa kwa ukaribu baada ya kufanyiwa Upasuaji katika Taasisi hiyo
Dkt. Bingwa na Rais wa Fracture Care International toka Marekani na Muasisi Dkt Lewis Zirkle (kulia), akijadiliana na Madkta wenzake kabla ya Kumfanyia mgojwa huyo
Dkt. Bingwa na Rais wa Fracture Care International toka Marekani na Muasisi Dkt Lewis Zirkle (wa pili kushoyo), akijadiliana na Madkta wenzake kabla ya Kumfanyia mgojwa huyo wakipitia Fail lake
Comments