MBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA TANGA (CUF) AMINA MWIDAU ALIPOTEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani,Mugiri Emili kushoto akimuelekeza jambo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau ambaye alitembelea hospitali hiyo jana kuwafariji wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali hiyo na kugawana zawadi ambazo ni sabuni,Poda,sukari ikiwemo mahitaji muhimu pamoja na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga mbunge huyo kwa gharama za milioni 5,
Picha na Mpiga picha wetu,Pangani.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau kulia kushoto kwake ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wlaya ya Pangani,Mugiri Emili wakielekea wodini kwa ajili ya kuwatazama wagonjwa ,kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni,sukari pamoja na mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge huyo,
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau akisalimiana na wakina mama wakati alipotembelea hospitali ya wilaya ya Pangani jana kuwaona wagonjwa kuwafariji na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni,sukari pamoja na mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge huyo,
Katikati ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau akitoa maelekezo namna ya ugawaji wa zawadi kwa wagonjwa wakati alipotembelea hospitali ya wilaya ya Pangani jana kwafariji wagonjwa na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni,,sukari,poda na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa ambalo limejengwa na mbunge huyo kwa gharama za sh.milioni tano kushoto kwake ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani,Dennis Ngaromba.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga(CUF) Amina Mwidau akigawa zawadi kwenye wodi ya wakina mama katika hospitali ya wilaya ya Pangani jana kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo,Mugiri Emili ambapo licha ya hivyo alikabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa lillojengwa na mbunge huyo lililogharimu kiasi cha shilingi milioni tano.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CUF) Amina Mwidau akimsalima mtoto mchanga kwenye hospitali ya wilaya ya Pangani wakati alipokuwa akiwatembelea wagonjwa kuwajulia hali kuwapa zawadi na kukabidhi jengo la kupumzikia hospitalini hapo lilolojengwa na mbunge huyo kwa gharama za shilingi milioni tano,
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga(CUF) Amina Mwidau akiwa kwenye picha ya pamoja na wahuduma wa hospitali ya wilaya ya Pangani jana mara baada ya kuwatembelea wagonjwa hospitalini hapo kugawa zawadi na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa wanaokwenda kupata matibabu ambalo limejengwa na mbunge huyo kwa gharama za kiasi cha shilingi milioni tano.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga(CUF) Amina Mwidau akigawa zawadi kwa mgonjwa Aisha Juma kwenye hospitali ya wilaya ya Pangani mara baada ya kuwatembelea wagonjwa jana kuwafariji na kukabidhi jengo la kupumziki wagonjwa hao kwenye hospitali hiyo ambalo limejengwa na mbunge huyo kwa gharama za kiasi cha shilingi milioni tano.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga(CUF) Amina Mwidau akimkabidhi Jengo la kumpumzikia wagonjwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Dennis Ngaromba ambalo limejengwa na mbunge huyo kwa kiasi cha shilingi milioni tano litakaotumiwa na wagonjwa wanaokwenda hospitalini hapa kupata matibabu.
Comments