- Ratiba ya mchakato wa uteuzi wa waogombea wa CCM yatajwa
- Masharti yatajwa kwa wagombea
- Mwigulu Nchemba ajiuzulu nafasi yake ya Unaibu Katibu Mkuu CCM (Bara)
Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma yanavyoonekana kwenye picha wakati wa vikao vikubwa vya Chama.
Sare za CCM zinauzwa kwa wingi nje ya uzio wa Makao Makuu ya CCM .
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Dk.Mohamed Seif Khatib(katikati) wakati kikao cha NEC kikiendelea.
Mwigulu Mchemba akiagana na baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mara baada ya kutangaza kujiuzulu nafasi yake ya Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) .
Comments