Sunday, May 17, 2015

PINDA ASHIRIKI HITIMA YA BABA MZAZI WA MAMA TUNU PINDA

TU1

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akifarijiwa na Mke wa makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mama Asha  Seif Iddi katika Sala ya Arobaini ya kifo cha Baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani iliyofanika nyumbani kwa Marehemu, Tabata jijini Dar es salaam Mei 17, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
TU2
Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam, Alhaji Mussa Salum akizungumza katika sala ya hitima ya marehemu Abdallah Rehani, baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Tabata jijini Dar es salaam Mei 17, 2015.Kulia ni Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim na kushoto ni  Mkuu wa Mkoa wa katavi, Dkt. Ibrahim Msengi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
TU3
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika sala ya hitima ya marehemu Abdallah Rehani, baba mzazi wa  mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Tabata jijini Dar es salaam Mei 17, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
TU4
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim baada ya hitima ya marehemu Abdallah Rehani, baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda  iliyofanyika nyumbani kwa Marehemu, Tabata jijini Dar es salam Mei 17, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
TU5
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal akiagana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya sala ya hitima ya marehemu, Abdallah Rehani, baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Tabata jijini Dar es salam Mei 17, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

NIRC YAFUNGUA SURA MPYA YA KILIMO: MIRADI 30, PAMPU 2,000 NA AJIRA 4,000

  Na Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) inatarajia kuanza utekelezaji wa miradi mipya zaidi ya 30 ...