Wednesday, May 20, 2015

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAZINDUA MAUZO YA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU-AWAMU YA PILI KATIKA KAMPENI IJULIKANAYO KAMA “NYUMBA YANGU - MAISHA YANGU

Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akizungumza na vyombo vya habari jijini Mwanza, katika uzinduzi rasmi wa mauzo ya nyumba za gharama nafuu kupitia kampeni ya uuzaji wa nyumba za gharama nafuu ijulikananyo kama “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” -awamu ya pili. Kampeni hii ya “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” ni muendelezo wa utekelezaji wa malengo ya Shirika ya kujenga nyumba za gharama nafuu 5000 nchi nzima, kushoto kwake ni Meneja wa NHC mkoa wa Mwanza, Injinia Benedict Kilimba leo hii.
Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi (Katikati) akizungumza katika uzinduzi rasmi wa mauzo ya nyumba za gharama nafuu kupitia kampeni ya uuzaji wa nyumba za gharama nafuu ijulikananyo kama “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” -awamu ya pili. Kampeni hii ya “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” ni muendelezo wa utekelezaji wa malengo ya Shirika ya kujenga nyumba za gharama nafuu 5000 nchi nzima, kushoto kwake ni Meneja wa NHC mkoa wa Mwanza, Injinia Benedict Kilimba na kushoto kwake ni Meneja Utawala wa NHC, Richard Ndeona leo hii.
 Baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika tukio hilo muhimu la uzinduzi wa kampeni ya mauzo ya nyumba yangu maisha yangu awamu ya pili.
 Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akizungumza katika uzinduzi rasmi wa mauzo ya nyumba za gharama nafuu kupitia kampeni ya uuzaji wa nyumba za gharama nafuu ijulikananyo kama “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” -awamu ya pili. Kampeni hii ya “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” ni muendelezo wa utekelezaji wa malengo ya Shirika ya kujenga nyumba za gharama nafuu 5000 nchi nzima, kushoto kwake ni Meneja wa NHC mkoa wa Mwanza, Injinia Benedict Kilimba leo hii.

 Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi (Katikati) akizungumza katika uzinduzi rasmi wa mauzo ya nyumba za gharama nafuu kupitia kampeni ya uuzaji wa nyumba za gharama nafuu ijulikananyo kama “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” -awamu ya pili. Kampeni hii ya “Nyumba Yangu – Maisha Yangu” ni muendelezo wa utekelezaji wa malengo ya Shirika ya kujenga nyumba za gharama nafuu 5000 nchi nzima, kushoto kwake ni Meneja wa NHC mkoa wa Mwanza, Injinia Benedict Kilimba na kushoto kwake ni Meneja Utawala wa NHC, Richard Ndeona leo hii.
Baadhi ya nyumba hizo ambazo mauzo yake yamezinduliwa leo ambazo zipo katika wilaya ya Buswelu, mkoani Mwanza.
Baadhi ya nyumba hizo ambazo mauzo yake yamezinduliwa leo ambazo zipo katika wilaya ya Buswelu, mkoani Mwanza.

 Baadhi ya nyumba hizo za Zongomela ambazo mauzo yake yamezinduliwa leo ambazo zipo katika wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.
 Baadhi ya nyumba hizo ambazo mauzo yake yamezinduliwa leo ambazo zipo katika eneo la Buhare, mkoani Mara.
 Baadhi ya nyumba hizo ambazo mauzo yake yamezinduliwa leo ambazo zipo katika wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
 Baadhi ya nyumba hizo ambazo mauzo yake yamezinduliwa leo ambazo zipo katika wilaya ya Uyui, mkoani Tabora.

 Baadhi ya nyumba hizo ambazo mauzo yake yamezinduliwa leo ambazo zipo katika wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
Baadhi ya nyumba hizo ambazo mauzo yake yamezinduliwa leo ambazo zipo katika wilaya ya Makete, mkoani Njombe.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...