Monday, May 25, 2015

DK.ALI MOHAMED SHEIN AKITIA UDONGO KATIKA KABURI LA DADA YAKE MAREHEMU FATMA SHEIN WAKATI WA MAZIKO

sh1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Dada yake Marehemu Fatma   Shein aliyefarika  jana  na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
sh2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Viongozi mbali mbali katika mzishi ya Dada yake Marehemu Fatma   Shein aliyefarika  jana na kuzikwa leo katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments:

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka 2026 hadi 2030 (Ag...