Monday, May 18, 2015

MKUTANO WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAFANYIKA ZANZIBAR

1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Haji Omar Kheir akijibu maswali mbali mbali ndani ya baraza la Wawakilishi linaloendelea Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
2
Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee akijibu Maswali mbalimbali yaliotolewa ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
3
Mwenyekiti wa Kamati ya Wenyeviti wa Baraza la Wawakilishi ambae pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan Juma akitoa hotuba ya mapendekezo ya Kamati kuhusu Bajet ya Serikali ndani ya Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
5
Mwakilishi wa Jimbo la Kitope Makame mshimba Mbarouk akichangia Bajet ya Serikali ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
4
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Pili wa Zanzibar Mohammed Aboud katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AIPONGEZA TANAPA KWA KULINDA MALIASILI NA KUITANGAZA TANZANIA KIMATAIFA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango , ameipongeza kwa dhati Shirika la Hifadhi za Taifa Tanza...